Thursday, 18 May 2017

FAHAMU UZURI NA UBAYA WA KUJIUNGA FREEMASON

Freemason Imekuwa Ikitajwa kwenye kila aina ya minong’ono. Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata utajiri na kuwa watu wenye nguvu. Lakini bado Freemason, imebaki kuwa kitendawili miongoni mwa Watanzania wengi.Leo tunakuletea habari kuhusu Mtanzania maarufu aliyefungua kinywa na kueleza namna alivyojiunga na Freemasons, kundi lililo kongwe duniani. 

Tayari watu mbalimbali watu wenye hamu ya kupata utajiri wamekuwa wakitoa ushuhuda kuhusu kundi hilo na kusikika kwenye vyombo vya habari, hasa baada ya kifo cha mwingizaji nyota, Stephen Kanumba, mwaka 2012. 
Siyo hivyo tu, bali kumeibuka pia matangazo yenye namba za simu yanayoshuhudiwa kwenye nguzo za simu mitaani hadi vichochoroni yakiwataka watu wanaotaka kujiunga na Freemason kupiga simu ili wapewe utaratibu wa namna ya kujiunga kwenye ‘kisima hicho cha mafanikio’. 
Baadhi ya watu tayari wameshanaswa na mtego huo, huku wengine wakiendelea kujaribu bahati yao kujipatia utajiri kwa njia ya ‘nguvu za giza’. 
Hata hivyo Jayantilal Keshavji Chande, maarufu zaidi nchini kwa jina Sir Andy Chande, aliyejiunga na Freemason Oktoba 25, 1954 baada ya kupita kwenye usaili mzito, anaeleza namna alivyoibuka kutoka familia ya kawaida hadi kuwa kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki. 
Sir Andy Chande, ambaye amekuwa mwanachama wa kundi hili kwa karibu miongo sita sasa, anaeleza namna alivyosajiliwa na kufikia hatua ya juu ndani ya kundi hilo. 
Chande alizaliwa Mombasa Kenya, Mei 7, 1928, ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene mjini, mkoani Tabora, magharibi mwa Tanzania. 
Katika kufafanua utaratibu mzima wa Freemason, Chande ameandika kitabu alichokiita; ‘A night in Africa-a journey from Bukene’ (Usiku wa Afrika-Safari kutoka Bukene), pengine akitaka kuweka sawa dhana na kuondoa tofauti ili misingi inayoendesha Freemason ifahamike. 

Imani ya kimaadili na thamani ya kundi hilo ilianza wakati wa mazungumzo yake na Messrs Campbell Ritchie na McLean mwanzoni mwa miaka ya 1950. 


3 comments:

  1. Nataka kujiunga na ichochama cha freemason namba yangu ni 0784017108

    ReplyDelete
  2. Ningependa kumpendekeza mmoja wa wazimu wanaoheshimika zaidi wa wakati wetu. Ni mtu ambaye amewasaidia watu wengi jijini wakati wa hali ngumu.

    Baadhi ya watu hata humwita "mungu mdogo" kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiroho na jinsi anavyowasaidia wale wanaomjia kwa ajili ya mwongozo.

    Unaweza kumtumia ujumbe kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Barua pepe wightmagicmaster@gmail.com

    Tafadhali zungumza naye kwa heshima na ueleze hali yako wazi, naye atajitahidi kukusaidia.

    Anatoa mwongozo wa kiroho na usaidizi kwa hali tofauti, ikiwa ni pamoja na:

    • Masuala ya mapenzi na uhusiano, ikiwa ni pamoja na kusaidia kuungana tena na mpenzi wa zamani.

    • Kurejesha ndoa na mahusiano yenye matatizo.

    • Maombi na mila za kiroho kwa ajili ya ulinzi na mafanikio.

    • Tiba za mitishamba za kuponya VVU, saratani, malengelenge.

    • Maombi ya uzazi na usaidizi wa kiroho kwa wanandoa wanaotaka kupata mimba katika wiki chache.

    • Uwezo wa Telekinesis. Uwezo wa kubadilisha umbo.

    • Tambiko na maombi ya utajiri wa papo hapo.

    • Msaada wa kiroho katika hali ngumu kama vile kesi za mahakamani, kurejesha mali iliyopotea, na changamoto zingine za maisha.

    Watu wengi wamepokea msaada na mwongozo kupitia kazi yake ya kiroho.

    ReplyDelete
  3. Jina langu ni Charles, na ninatoka Marekani. Nilijiunga na undugu huu kwa sababu nilikuwa na deni, na maisha yaliniona kuwa magumu sana. Nilihitaji pesa ili kutatua matatizo yangu.

    Mpenzi wangu wa miaka miwili aliniacha kwa sababu ya hali yangu ya kifedha. Zawadi yangu ya kwanza ilikuwa dola milioni 1.2. Hadi sasa, nimetumia dola 200,000 pekee, na sijui la kufanya na pesa zilizobaki kwenye akaunti yangu. Ninaweza kusema kwa ujasiri kwamba sasa mimi ni tajiri sana.
    Ninampendekeza sana Dkt. Larry kwa yeyote anayetaka kujiunga na undugu. Barua pepe yake. doctorlarry268@gmail.com

    WhatsApp: +2349045968228

    ReplyDelete